bunt

n 1 sehemu ya kati ya tanga mraba. 2 mfuko (wa mshipi wa kuvulia samaki). vt, vi piga/ sukuma kwa kichwa au pembe.