bunk

3 abbr. of bunkumbunker n 1 ghala ya mkaa au fueli melini. 2 (mil) handaki la kudumu. 3 (of golf) tuta (la kuzuilia). vt 1 jaza ghala ya mkaa/fueli melini 2. (fig) kuwa matatizoni.