bundle

n kifurushi, kipeto, fungu,kitita, mzigo. vt 1 funga vitu vingi kwa pamoja. 2 tupa/weka bila mpango; tumbukiza. 3 ~ out/off ondosha kwa haraka/kwa fujo, tupatupa. ~ up tupa ovyo; vaa nguo nyingi ili kujikinga na baridi.