bunch

n 1 kicha cha matunda, mkungu ~ of bananas mkungu wa ndizi. 2 (informal) kikundi cha watu. vi,vt songana, fungamana, kunjamana; kusanya, funga pamoja, tunga pamoja (k.m. shada la maua).