bulwark

n 1 boma, (hasa la ardhi). 2 (fig) kinga, ngao, kizuizi. 3 ukuta mdogo wa kuzungusha sitaha ya merikebu; ukingo wa mbavu za meli utokezao juu. 4 (of small boat) manjali (of boat) talibisi.