1n 1 mwonevu, mkatili, dhalimu, mkandamizaji. 2 kuwadi (atongozaye wanawake kwa ajili ya wengine); mtu anayetetea malaya na kuwawekea kifua. 3 mpigo wa fimbo mbili mara tatu ili kuanza mchezo wa hoki. vt onea, dhulumu, tisha.
bully
2adj(sl) -zuri. it's ~ for you! oyee!
bully
3n (usu~-beef) nyama ya kopo. bulrushn aina ya unyasi. ~ milletn uwimbi.