bull

bull

1 n 1 fahali, ng'ombe dume. 2 dume la mnyama mkubwa kama tembo au nyangumi. take the ~ by the horns jasiri, kabili kwa ujasiri. 3 mlanguzi, katika soko la hisa. 4 ~ fight n mchezo wa kupigana na ng'ombe. vi 1 songa mbele kwa nguvu. 2 jaribu kupandisha bei adj -a kidumedume, -a kufanana na dume la ng'ombe. bullshit n mavi! upuuzi! ~ head n 1 bakarikichwa (samaki). 2 (sl) mjinga. ~ headed adj -kakamizi. bullock n 1 fahali mdogo. 2 maksai. ~-ring n uwanja wa mchezo wa ng'ombe. ~s-eye n 1 katikati kabisa (hasa ya shabaha). 2 dirisha la mviringo.

bull

2 (RC) amri/tangazo la Papa.