bulge

n 1 uvimbe, mtokezo (wa mviringo juu ya uso wa kitu hasa kutokana na kanieneo iliyoko chini yake). 2 ongezeko (la ghafla na la muda) katika namba au ujazo. vi 1 tokeza, vimba, benuka, fanya mgongo. 2 panuka, ongezeka ghafla, jaa. 3 bulging adj .