build

vt 1 jenga, ~ a house jenga nyumba. 2 unda. 3 anzisha na kuendeleza kitu. 4 fanya kitu kiongezeke polepole. 5 ~ in jengea ndani ya kitu kingine. 6 ~ up ongeza; ongezeka polepole; jaa majengo built up areas maeneo yaliyojaa majengo. 7 ~ upon/on tegemea, tumia kama msingi. n 1 umbo a man of powerful ~ mtu mwenye umbo la nguvu. 2 uumbaji n building n 1 ujenzi ~ing materials vifaa vya ujenzi. 2 jengo. 3 (naut) uundaji. buildup n 1 ujengekaji, ongezeko. 2 kitu kitokanacho na ujengaji au uundaji. builder n,adj -liojengeka a well built person mtu mwenye umbo zuri.