bug

n 1 mdudu. bed ~ n kunguni. 2 (esp. US) kijidudu. 3 (sl) big ~ n mtu mashuhuri, mwenye cheo kikubwa, kizito, bwana mkubwa. 4 (colloq) virusi, chembe-maradhi. 5 (sl) ubovu, kasoro. 6 kinasasauti (kilichofichwa cha kusikilizia au kunasia mazungumzo ya siri). vi 1 (colloq) tumia kinasasauti kusikilizia siri. 2 (US sl) chukiza, udhi adj -enye kunguni (au wadudu wengine wa aina yake).