buffoon

n 1 mchekeshaji, mpumbavu. 2 mtu mpumbavu mwenye fujo na makelele. vi chekesha, jipumbaza. buffoonery n upuuzi, upumbavu; uchekeshaji.