buffet

buffet

1 n 1 bafe: kaunta ya kuuziavyakula au vinywaji (k.m. katika treni). 2 kabati ya kuonyeshea vyombo vya kauri. 3 chakula ambacho kimewekwa kwenye meza ili walaji wajihudumie wenyewe. 4 mgahawa ambamo walaji hujihudumia wenyewe.

buffet

2 n 1 konde: pigo la mkono. 2 kitu kipigacho kwa nguvu kubwa. vt 1 piga kwa nguvu. 2 gongagonga juu ya kitu. 3 tumia vibaya; fanyia ukatili. 4 ~ (about) rusha kwa nguvu toka upande mmoja hadi mwingine (k.m. katika ndege au treni).