bud

n 1 jicho (la ua), tumba. 2 chipukizi, kichomoza. 3 kizizi mbegu. nip in the ~ komesha upesi mwanzoni (mwa shauri n.k.). vi, vt (-dd-) chomoza, chipuka, mea, kua. budding adj. ~ding artist n msanii chipukizi.