buckle

n kishikizo, bakoli; bizimu. vt,vi 1 ~ (on) funga kwa bakoli. 2 (of shoe, belt, etc) funga (kwa namna fulani). 3 ~ to/down to anza (kazi) kwa nguvu. 4 (of metal work, etc) pinda, pindika, kunjamana kwa sababu ya joto.