bubble

n 1 kiputo: tone la hewa katika kioevu, povu. 2 kisoimara: kitu ambacho hakina uimara wa aina yoyote; kisothabiti: kitu kisicho na ukweli wa aina yoyote. 3 sauti ya mbubujiko. 4 ~ tube n pimamaji. 5 ~gum n ubani, chingamu. vi 1 toa povu. 2 umuka. 3 chemka, toa kiputo. ~ over furika, fura (kwa furaha, hasira n.k.).