brush

n 1 burashi, ufagio tooth ~ mswaki. 2 kichaka. 3 mkia wa mbweha. 4 usafishaji kwa kutumia burashi. 5 pambano kali la muda mfupi. vt 1 piga burashi; fagia, pangusa, sugua. 2 ~ up safisha kwa burashi; jikumbusha (masomo). ~ something aside/away puuza. ~ somebody/something off ondoa, fukuza, kataa. ~ down safisha kwa burashi. ~ out fagia (chumba). chambua kwa kitana. ~ over tia (rangi n.k.) kwa burashi. vi ~ by/ ~ past pita upesi sana. ~ wood n kichaka. ~-work n ufundi wa kupiga rangi mtindo wa kuchora picha ya rangi. my coat needs a ~ koti langu linahitaji kupigwa brashi.