bruit

n 1 (arch) uvumi, mnong'ono. 2 sauti nyingi zisizo za kawaida zisikikazo (katika uchunguzi wa kiganga) katika mwili wa binadamu. vt eneza uvumi, vumisha.