browse

vi,vt 1 tafuna majani. 2 jilisha, chunga (kama wafanyavyo wanyama wala majani). 3 soma soma, pitiapitia kitabu, gazeti, n.k. bila lengo maalumu. n 1 malisho (majani laini, n.k.). 2 hali ya kuchunga mnyama.