brown

adj hudhurungi, -a kahawia. light ~ adj -a kahawia nyepesi dark ~ -a kahawia iliyoiva. ~ shirts n wanazi: wanachama wa chama cha Nazi. in a ~ study katika hali ya kufikiri sana (hata kusahau vingine), -liozama katika mawazo. ~ paper n karatasi ya kaki ya kufungia vitu ~ bread mkate (wa unga usiokobolewa) kahawia. ~ed off (slang) -liochoshwa, -lioudhika. n 1 rangi ya kahawia. ~s out n kufifia kwa mwanga wa umeme. brownstone n jiwe la mchanga.