n makinda/vifaranga yalioanguliwa pamoja; vitoto vya wanyama wengine vilivyoanguliwa kwa pamoja; (joc) kundi la watoto. ~-henn koo la kuku. ~-maren farasi jike. vi 1 (of birds) atamia. 2 ~ (over/on)(fig) waza sana, fikiri sana, tafakari. broodyadj(of hens) -nayo kokoreka; (fig) (of persons) -lio kanyaga chechele. broodern koo la kuku.