bronco

n (US) farasi asiyefunzwa utii. bronze n shaba (nyeusi); rangi ya shaba (nyeusi). vt tia shaba nyeusi adj -a shaba nyeusi; -enye rangi ya shaba. ~d adj -liobadilika rangi (kuwa kama shaba) kutokana na jua. ~age n enzi ya shaba.