broken

adj -liovunjika, -liokatika. ~ marriage n ndoa iliyovunjika ~spirit moyo uliovunjika. 2 (of languages) -baya, -bovu, -sio fasaha ~ English Kiingereza kibovu/ kisicho fasaha. ~man n mtu aliyekatishwa tamaa kabisa. ~ ground n ardhi isiyo sawasawa. ~ hearted adj -enye huzuni nyingi, -enye majonzi.