broadside

n 1 ubavu wa meli juu ya maji. 2 shambulio la mizinga yote ya upande wa manowari. 3 (fig) shambulio kali la maneno. 4 karatasi pana. adv ~ on (to) kwa kuelekeza upande mmoja katika sehemu au lengo fulani. ~ sword n upanga wa bapa. ~ ways adv kwa kuelekea upana.