broadcast

vt,vi 1 tawanya, eneza (k.m. habari, taarifa) pande zote kwa redio au televisheni. 2 zungumza, imba n.k. kwa njia ya redio au televisheni the President will ~ this evening Rais atazungumza kwa njia ya redio/televisheni leo jioni. 3 tangaza. 4 panda mbegu kwa kuzitawanya. n 1 tangazo, kipindi cha redio/ televisheni). 2 broadcaster n mtangazaji. broadcasting n,adj.