broad

broad

1 adj 1 pana. 2 -nayoshika eneo kubwa mno, -enye kuenea mahali pakubwa mno. ~ plains n nyanda. 3 kabisa. ~ daylight n kweupe kabisa. ~ hint n dokezo dhahiri/la wazi. 4 -a jumla. in ~ outline kwa jumla. 5 (of the mind and ideas) -pana, -nayokubali mawazo ya wengine. a ~minded person mtu anayekubali kusikiliza mawazo ya wenzake japo si lazima akubaliane nayo a man of ~ views mtu mvumilivu mwenye kuheshimu mawazo ya wengine. 6 (of speech) -enye lafudhi/mkazo unaoonyesha wazi athari za kimazingira (zinazoathiri kisanifu). 7 (phrase) It's as ~ as it is long hakuna tofauti, ni mamoja. 8 (compounds) ~ beans n maharage. broaden vt, vi ~(out) panuka; panua. ~-sheet n laha: karatasi pana lililochapwa au kuandikwa upande mmoja tu. broadly adv. ~ness n.

broad

2 n 1 sehemu iliyo pana (ya kitu fulani). 2 (US slang) mwanamke.