broach2 vt 1 fungua (chupa); toboa (kasiki) na tia mrija ndani yake ili kutoa mvinyo nje. 2 fanya kitu kijulikane kwa mara ya kwanza. 3 (fig) anzisha mazungumzo (ya mada fulani).