brink

n ukingo, kando be on the ~ of -wa kando ya, -wa karibu kabisa (na hatari) the ~ of death chungulia kaburi. brinkmanship n tabia ya kupenda kucheza na hatari hadi karibu kabisa.