bring

vt 1 leta ~ me a book niletee kitabu. 2 (induce) shawishi, vuta ~ him to agree mshawishi akubali ~ oneself shawishika ~ to his notice mfahamishe ~ an action against shtaki, dai, anzisha mashauri ~ to bear (on) tumia. ~ low dhalilisha, fedhehesha ~ home dhihirisha ~ into question tilia shaka ~ tears to somebody's eyes liza. ~ about 1 sababisha. 2 (of boat) geuza. ~ back 1 rudisha. 2 kumbusha. ~ down 1 (of prices etc) shusha, telemsha. 2 (of aircraft in war, government etc) angusha. 3 (of arith) chukua. 4 (arch) ~ forth (creature) zaa; toa matunda. ~ forward 1 onyesha. 2 (of meeting etc) wahisha, tanguliza. 3 (bookkeeping) peleka mbele. ~ in 1 anzisha. 2 leta faida, zaa, zalisha. 3 tumia. 4 toa uamuzi mahakamani. ~ into anzisha ~ into force/effect anza kutekeleza ~ into contempt dharaulisha. ~ off 1 okoa. 2 fanikisha he brought it off amefaulu. ~ on 1 sababisha. 2 stawisha, saidia. ~ out 1 sababisha kuonekana. 2 toa, anzisha. 3 (of a book) chapisha. 4 (of workers) sababisha kugoma. ~ over geuza mawazo/mtazamo. ~ round 1 amsha, tia mtu fahamu (baada ya kupoteza fahamu). 2 geuza. 3 ~ (to) elekeza. ~ through 1 (in illness) ponya; (naut) simamisha. 2 see ~ round(1). ~ together leta pamoja, funganisha, kutanisha chance brought us together tulikutana kwa bahati. ~ under 1 tiisha. 2 jumlisha, weka pamoja. ~ up 1 lea; funza. 2 tapika. 3 taja. 4 (mil) ~ up the rear peleka mbele tokea mwisho. 5 (court) leta mahakamani. 6 ~(against) (usu pass) kabili, tumiwa dhidi ya.