bright

adj 1 -enye kung'aa, ng'avu bashashi. 2 -a furaha, -changamfu, -kunjufu. 3 -elekevu, -enye akili. 4 (of colour) kali. 5 maarufu look on/at the ~ side (of things) -wa na matumaini, -tokata tamaa (licha ya matatizo). brighten vt,vi 1 ~ (up) ng'arisha, changamsha; changamka. brightness n. brightly adv.