brief
brief
1 n 1 muhtasari (hasa wa kesi mahakamani) hold a ~ for (somebody) tetea/unga mkono. 2 maagizo. briefcase n mkoba. vt 1 eleza, -pa maelezo/maagizo. 2 (comm) toa muhtasari. briefing n maagizo/maelezo, taarifa n.k. (itolewayo mapema k.m. kabla ya ndege kuruka).brief
2 adj -fupi, -a muda/tukio/maelezo mafupi; -a kupita upesi in ~ kwa ufupi, kwa muhtasari. briefly adv. briefness n.