bridge

n 1 daraja, kantara, tingatinga.2 (naut) jukwaa (juu ya sitaha ya meli ambapo nahodha/maafisa hutoa amri zao. 3 sehemu ya juu ya pua. 4 kishikizi cha meno bandia. 5 mchezo wa karata. ~ head n sehemu ya mbele ndani ya ardhi ya adui ambayo itatumika kumshambulia. vt 1 unganisha kwa daraja; jenga daraja la kuvukia. 2 shinda, tatua (angalau kwa muda). 3 saidia. 4 ~a/the gap ziba pengo. bridging loan n mkopo wa kuziba pengo kwa muda maalum. a lot of water has flowed under the ~ since then mambo mengi yametokea tangu wakati huo.