n 1 tofali a ~ house nyumba ya matofali. (fig)drop a ~ kosa. make ~s without straw jaribu kufanya kazi isiyo na mafanikio. 2 (colloq) rafiki. 3 kipande (chenye umbo la tofali) cha jibini. vt~in/up ziba kwa matofali ~ up a window etc. jaza ukuta. ~ batn kipande cha tofali; (fig) maneno ya shutuma. brickfield; brick-kilnn tanuru la kuchomea matofali, kiwanda cha matofali. ~ layern mwashi. ~ layingn uashi. ~ workn ujenzi wa matofali.