breviary

n (rel. R.C.) breviari: kitabu cha sala za kila siku zinazosemwa na mapadre.