breed

vi,vt 1 zaa; zalisha. 2 fuga. 3 lea, adilisha, elimisha a well-bred child mtoto mwadilifu, mtoto aliyelelewa vyema. 4 leta war ~s poverty vita huleta ufukara. n 1 kizawa. 2 jamii ya wanyama. half ~ chotara. breeder n 1 mfugaji/mkuza kizazi bora cha wanyama. 2 (of animals) mzalishi. 3 kizalisha nguvumionzi. breeding n 1 uzazi. 2 ufugaji bora. 3 malezi mema; tabia njema. ~ing season n majira ya kuzaa.