breath

n 1 pumzi in one ~ kwa pumzi moja bad ~ kunuka mdomo I caught my ~ nilishika/ nilikata pumzi (kwa muda). catch/hold one's ~ zuia pumzi; (fig) ngoja kwa hofu kubwa. take ~ vuta pumzi. waste one's ~ ongea bure. take somebody's ~ away shtusha; shangaza. under the ~ kwa kunong'ona, polepole. with bated ~ kwa hofu kubwa 2. upepo mwembamba. 3 (instant) dakika moja, kufumba na kufumbua. in the same ~ hapohapo. (fig) not a ~ of suspicion hakuna hata chembe ya tuhuma. ~ less adj 1 -a kutwetatweta, -a kuhema. 2 -a kukata pumzi, -a haraka, -a kushinda roho. 3 (of night) -tulivu. breathy adj (of voice) dogo. breathily adv. breathalyse vt pima ulevi wa mtu (hasa dereva). ~alyser n chombo cha kupimia ulevi (mtu akitoa pumzi, chombo kinachoonyesha amekunywa kiasi gani). ~ taking adj -a kustaajabisha, -a ajabu. breathe vi,vt 1 vuta pumzi; pumua. ~e in vuta pumzi. ~e out toa pumzi. ~e hard kokotoa roho, tweta, korota, koroma. 2 (live) ishi, -wa na uhai. ~e one's last kata roho, -fa, fariki. 3 (reveal) toa dont ~e a word usimwambie mtu. ~ er/~ing space n nafasi ya kupumzika. breathed adj (phon) kavu, hafifu.