n 1 mkate. 2 chakula, riziki. 3 (sl) pesa. ~ and buttern mkate na siagi; (sl) njia ya kupatia fedha. ~ and butter lettern barua ya shukrani kwa ukarimu quarrel with one's ~ andbutter gombana na mkuu/mwajiri. ~ and butter issuen suala linalohusu mambo muhimu katika maisha. take the ~ out of somebody's mouth ondolea/ nyang'anya riziki. ~ winner mkimu familia. ~ basketn 1 kikapu cha mkate. 2 eneo la nchi linalozalisha nafaka kwa wingi. 3 (sl) tumbo. ~-crumbsn chembe za mkate (political sl) makombo, masalia ~ line foleni ya watu maskini wanaongoja mkate au chakula bure. bread-fruitn shelisheli. ~-stuffsn(pl) nafaka, unga wa mkate.