brazen

adj 1 -a kutokana na shaba nyeupe. 2 -enye mlio mkali kama wa ala ya shaba nyeupe. 3 -enye rangi ya shaba nyeupe iliyofuliwa. 4 -a kutokuwa na haya. brazenfaced adj -enye kujikausha, bila haya. vt (out) jikausha, shupaa. brazenness n.