n 1 shaba nyeupe. ~ platen kibao cha shaba cha mlangoni (agh. huandikwa jina). ~ tacksn pini; (fig) kiini cha jambo. get down to ~ tacks anza kuzungumza/jadili kwa uwazi/ukweli. top ~n maofisa viongozi wa ngazi za juu kabisa. ~ hatn (army sl) afisa mwandamizi. 2 brassesn vitu vya shaba nyeupe. 3 the ~(collective)(mus) ala za muziki za shaba nyeupe. ~ bandn bendi ya matarumbeta. 4 (impudence) ufidhuli, ujuvi. 5 (GB sl) fedha. brassyadj 1 fidhuli. 2 -a shaba nyekundu. 3 (of voice) -a kikengele. 4 -a kelele.