brand

n 1 (of fire ) kijinga. 2 (of trade) rajamu, chapa. 3 (stamp) chapa (ya chuma yenye moto n.k.), mhuri. ~ iron n chuma chenye moto (kitumiwacho kwa kuchapa alama ng'ombe n.k.), alama (ichapwayo, itumiwayo katika kufanya biashara); (fig) alama ya aibu. 4 (sort) aina; namna the best ~s of coffee aina bora ya kahawa. 5 (of plants) maradhi ya mimea. 6 (poet) 1 upanga. 2 (disgrace) tia alama ya aibu, aibisha, -pa jina baya be ~ed as a coward -itwa mwoga. 3 ~ new mpya kabisa.