n 1 ubongo. blow out one's ~s jiua kwa kujipiga risasi kichwani. 2 (sense) akili use the ~ tumia akili have a good~ -wa na akili nyingi beat/rack one's ~s about something fikiri sana have something (eg. money) on the ~ fikiria daima juu ya (kitu). pick somebody's ~(s) chukua na tumia mawazo yake it turned his ~ ilimvimbisha kichwa. 3 (pl) akili a person of/with ~s mwenye akili ~s trust paneli ya wataalamu the ~s of a canary mpumbavu. 4 (compounds)~ -boxn fuvu la kichwa. ~ childn uvumbuzi, wazo jipya. ~ fagn kuchoka kwa akili. ~ teasern chemsha bongo, fumbo. brainwash(derog) tia kasumba. ~ drainn uhamaji wa wataalamu. ~ stormn 1 dalili za ugonjwa wa akili. 2 kupeana mawazo ili kutafuta njia mpya za kufanyia kazi. 3 mbinu ya kutatua tatizo/kujibu swali kwa kuchangia mawazo papo kwa papo kutoka kwa wote waliopo brainwaven (colloq). wazo zuri la ghafla. 4 (of good use (pl)) ubongo. ~-fevern homa ya ubongo, joto la kichwani. ~-stemn shina bongo. brainlessadj pumbavu, asiye na akili, baradhuli. brainyadj -enye akili. vt (sl) vunja kichwa na kumwaga ubongo.