bracket

n 1 mwango, kiango (cha mtiau chuma). 2 mabano, kikundi. age ~ n kikundi cha watu wenye umri fulani, rika moja. vt,vi 1 weka mabano; fungua mabano. 2 weka pamoja.