boy

n 1 mtoto mwanamume, mvulana I have known him from a ~ ninamjua tangu utotoni I have two ~s nina wavulana/watoto wa kiume wawili. 2 mtu he is a local ~ ni mwenyeji wa hapa. old/dear ~ 1 rafiki oh boy! do!, da!, du!, lo! 2 (derog) boi, mtumishi mwanamume. ~ hood n utoto, ujana. boyish n -a kivulana, -a mtoto wa kiume. boyishness n uvulana, tabia ya uvulana. boyfriend n kipenzi (wa kiume). ~scout n skauti (wa kiume).