box

box

1 n 1 kasha, bweta, sanduku. letter ~ n sanduku la barua. 2 kijaluba. 3 kiti cha dereva katika gari (linalovutwa na farasi). 4 (in courts) witness ~ n kizimba. 5 kibanda kidogo. sentry ~ n kibanda cha mlinzi. 6 (sl) televisheni. vt 1 tia ndani, fungia (ndani ya kasha). 2 (off) tenga. ~ in/ up bana sana we were ~ed up tulibanana. box-office n sehemu ya kukatia tiketi (katika sinema n.k.).

box

2 n pigo vi,vt piga ngumi. (~with) pigana ngumi/ndondi. boxing n mchezo wa ngumi. boxer n. ~ing- gloves n (pl) glovu za ndondi. ~ing-match/bout n pambano la ndondi/ngumi. ~ing-weight n uzito wa mwanandondi. Boxing-day n tarehe 26 Desemba.