bowl
bowl
1 n bakuli.bowl
2 1 (for the game of bowls) tufe. 2 (pl) mchezo wa kuvingirisha matufe chini.bowl
3 vi,vt 1 vingirika; tupa mpira/tufe (katika mchezo wa kriketi au tufe). 2 ~ along enda upesi, enda mbio (kama kwa magurudumu). ~ over 1 angusha. 2 shinda. 3 staajabisha sana. ~ out toa mchezaji katika kriketi. bowler n 1 mchezaji wa tufe; mtupaji mpira katika mchezo wa kriketi. 2 aina ya topi. bowling n 1 mchezo wa kuviringisha tufe. 2 kitendo cha kutupa mpira katika kriketi. ~ing alley/green n kiwanja cha kuchezea tufe.