bower

n 1 nyumba (nzuri) iliyojengwa maalum kama mahali pa kupumzikia. 2 banda lililojengwa kwa matawi na majani yaliyosukwa. 3 (poet) chumba maalum (cha mwanamke) cha kufanyia shughuli zake za kibinafsi k.m. kujipodoa.