bounce

vt,vi 1 ruka (kama mpira), duta. 2 rushwa, tupwa kurudi nyuma au mahali ulipotokea ~ in at the door ingia kwa nguvu/fujo/ghafla ~ out of a room toka chumbani ghafla/kwa hasira. 3 laghai ~ somebody into doing something shawishi mtu afanye jambo fulani. 4 (colloq) (of a cheque) rudishwa (na benki kwa kutokuwa na fedha za kulipwa). 5 ~ (f) 1 rudishwa nyuma; jirudisha nyuma. 2 rudi na nguvu mpya. n 1 pigo la ghafla, mruko catch the ball on the ~ daka mpira unapodundwa. 2 (of person) uchangamfu, makeke. ~ing adj (colloq) (of person) -enye nguvu na afya. bouncer n mzuia fujo katika kilabu; mbabe. bouncy adj enye uchangamfu.