bottom

n 1 chini, upande/sehemu ya ndani au nje ya kitu look at the ~ of the page angalia chini ya ukusara the ship went to the ~ meli ilizama. 2 nchani, mwisho, nyuma, isoheshimika at the ~ of the garden sehemu ya mwisho ya bustani. 3 kikalio; matako. (sl) kick somebody's ~ piga mtu teke la matakoni. 4 msingi, asili, chanzo get to the ~ of the trouble gundua chanzo/msingi wa tatizo. 5 (fig uses) the ~ has fallen out of the market biashara imeshuka sana, imefikia kiwango cha chini sana. at ~ kimsingi he is a good fellow at ~ yu mtu mzuri kimsingi from the ~ of my heart kwa dhati kabisa start at the ~of the ladder anzia ngazi za chini knock the ~ out of (an argument etc) thibitisha kuwa haina maana adj (attrib) -a chini kabisa, -a mwisho what's your ~ price bei yako ya mwisho ni ipi? vi ~ out (econ) anguka; fikia kiwango cha chini na baki palepale. bottomless adj 1 -a kwenda chini mno; (of chair) -sio na kikalio; a kina kirefu; bila nguo za ndani (chupi n.k.). ~s up maliza vinywaji. ~up chini juu.