bottle

n chupa. ~fed adj -liolishwa kwa chupa. (of a child) brought up on the ~ -liyekuzwa kwa maziwa ya chupa. too fond of the ~ -nayopenda sana ulevi. hit the ~ anza kuwa mlevi. vt tia /hifadhi chupani. ~ up one's anger futika, zuia/ficha hamaki. ~-green n. kijani kiwiti. ~-neck n 1 (manufacturing process) kikwazo; tatizo katika uzalishaji au utekelezaji wa kitu/jambo. 2 sehemu nyembamba ya barabara pana. bottle-nose n pua iliyovimba. ~-party n tafrija (ambako kila mmoja huenda na pombe yake).