bother

vt 1 sumbua, udhi; chokoza; kera; I can't be ~ed siwezi kusumbuliwa/kujisumbua. 2 ~ (about) sumbua; hangaika, jisumbua vi hangaika, ona wasiwasi, jikalifu, jitaabisha. n udhia, taabu, matata, usumbufu. botheration n. bothersome adj -enye udhia; -chokozi; -a kuudhi.