botany

n botania: sayansi ya muundowa mimea. botanic adj. botanist n mwanabotania. botanize vi botanisha: chunguza na kusanya mimea. botanical garden n bustani ya mimea.